Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa..
Leo hii Israel imeamua kuzishambulia ghala za silaha za Syria huko Hama!!