Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
1680526598526.png
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III.

Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais Samia kwenda nchini Ufaransa ambapo alishuhudia utilianaji sahihi wa maboresho hayo.
 
Bora msiseme mabilioni yatakayotumika maana roho zinauma mkisema 5b halafu baadae ripoti inakuja mnasema 3b wamepitia wazee wa madili hapo mwisho tutaandamana
 
Back
Top Bottom