Karia and Mwakyembe liked your post.TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv). Hata kama fainali itakuwa december pitch itakuwa haiko vizuri sasa kwa nini isiwe sehemu nyingine yenye kiwanja kizuri.
Hakuna mchezaji au shabiki anayefurahia soka likichezwa kwenye viwanja vibovu kama hivi vya mikoani, ni basi tu.
Chagueni uwanja bora hata kama utajirudia mara 1000
Mkuu hapo sumbawanga kuna bibi yanguWe kijana usituharibie...hivi unatujua vizuri sisi watu wa sumbawanga?sasa ngoja tukufanyie advertise kidogo . hebu jikague kidogo kengele zako hapo, moja tumeichukua kama dk 10 tutakurudishia
[emoji23][emoji23][emoji23]We kijana usituharibie...hivi unatujua vizuri sisi watu wa sumbawanga?sasa ngoja tukufanyie advertise kidogo . hebu jikague kidogo kengele zako hapo, moja tumeichukua kama dk 10 tutakurudishia
Naunga mguu hoja, tunataka pichaPicha please lasivyo uzi utapelekwa jukwaa la mapishi
Yule kocha wa manyani fc kawaambia viwanja vya kufugia mifugo wanaona kawatukanaTFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv). Hata kama fainali itakuwa december pitch itakuwa haiko vizuri sasa kwa nini isiwe sehemu nyingine yenye kiwanja kizuri.
Hakuna mchezaji au shabiki anayefurahia soka likichezwa kwenye viwanja vibovu kama hivi vya mikoani, ni basi tu.
Chagueni uwanja bora hata kama utajirudia mara 1000
Yule kocha yuko sahihi ni kweli viwanja ni vibovu ila kinachoshangaza ni kwa nini tuchague uwanja mbovu zaidi kuchezea fainali wakati tuna viwanja vyenye hali nzuri? Tuna kaitaba, uhuru, mkapa, ccm kirumbaYule kocha wa manyani fc kawaambia viwanja vya kufugia mifugo wanaona kawatukana
Viwanja vya CcmHiyo ni wake up call ,viwanja vijengwe na kukarabatiwa siyo kuangalia viwanja vya miji mikubwa tu. Itasaidia maendeleo ya michezo
Mie ningekuwa Mh. Rais natumia hata hela ya Serikali kukarabati viwanja vya chama na kuviwekea nyasi bandia. Viwanja kama
1. CCM Kirumba
2. Jamhuri Morogoro
3. Jamhuri Dodoma.
4. Abeid Aman Arusha.
5. Sokoine Mbeya
6. Aly Hassan Mwinyi Tabora.
7. Mkwakwani Tanga.
Yaani hivi viwanja ukivikarabati majukwaa safi, nyasi bandia, changing room safi nakwambia unaanza kuingia kwenye qualifications za kuandaa AFCON kitu ambacho kinaongeza kipato zaidi.
Sawa. Ngoja nirekebishe4. Hakiitwi Abeid Aman bali ni Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium