Uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga haufai kuchezea fainali ya FA

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv). Hata kama fainali itakuwa december pitch itakuwa haiko vizuri sasa kwa nini isiwe sehemu nyingine yenye kiwanja kizuri.

Hakuna mchezaji au shabiki anayefurahia soka likichezwa kwenye viwanja vibovu kama hivi vya mikoani, ni basi tu.
Chagueni uwanja bora hata kama utajirudia mara 1000
 
Karia and Mwakyembe liked your post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kijana usituharibie...hivi unatujua vizuri sisi watu wa sumbawanga?sasa ngoja tukufanyie advertise kidogo . hebu jikague kidogo kengele zako hapo, moja tumeichukua kama dk 10 tutakurudishia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
2473200_Screenshot_20200801-170522.jpg
 
Hiyo ni wake up call ,viwanja vijengwe na kukarabatiwa siyo kuangalia viwanja vya miji mikubwa tu. Itasaidia maendeleo ya michezo
 
TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv). Hata kama fainali itakuwa december pitch itakuwa haiko vizuri sasa kwa nini isiwe sehemu nyingine yenye kiwanja kizuri.

Hakuna mchezaji au shabiki anayefurahia soka likichezwa kwenye viwanja vibovu kama hivi vya mikoani, ni basi tu.
Chagueni uwanja bora hata kama utajirudia mara 1000
Yule kocha wa manyani fc kawaambia viwanja vya kufugia mifugo wanaona kawatukana
 
Viongozi wa vilabu nao ni wazembe kwanini wanashindwa kulalamika toka mwanzo wakati wanajua viwanja ni vibovu kingine ni gharama kubwa wanazotumia bila sababu ya msingi halafu zawadi zikitoka kulipa ni tatizo
 
Hivi hata ingekuwa simba vs yanga bado ingepigwa huko?

TFF watuhakikishie kila wanapopeleka fainali sehemu husika wanapeleka fungu la kuanda pitch.

Ikiwezekana iwe kama chagizo kwa sehemu husika.

Lakini pia hivi viwanja vingerudishwa serikalini tu kuliko kubaki chamani.

Pia niombe halmashauri,manispaa,jiji ziwe na mipango ya kuwa na viwanja vyao wenyewe kuliko kutegemea vya chama.
 
Mie ningekuwa Mh. Rais natumia hata hela ya Serikali kukarabati viwanja vya chama na kuviwekea nyasi bandia. Viwanja kama
1. CCM Kirumba
2. Jamhuri Morogoro
3. Jamhuri Dodoma.
4. Sheikh Amri Abeid Arusha.
5. Sokoine Mbeya
6. Aly Hassan Mwinyi Tabora.
7. Mkwakwani Tanga.

Yaani hivi viwanja ukivikarabati majukwaa safi, nyasi bandia, changing room safi nakwambia unaanza kuingia kwenye qualifications za kuandaa AFCON kitu ambacho kinaongeza kipato zaidi.
 
Mie ningekuwa Mh. Rais natumia hata hela ya Serikali kukarabati viwanja vya chama na kuviwekea nyasi bandia. Viwanja kama
1. CCM Kirumba
2. Jamhuri Morogoro
3. Jamhuri Dodoma.
4. Abeid Aman Arusha.
5. Sokoine Mbeya
6. Aly Hassan Mwinyi Tabora.
7. Mkwakwani Tanga.

Yaani hivi viwanja ukivikarabati majukwaa safi, nyasi bandia, changing room safi nakwambia unaanza kuingia kwenye qualifications za kuandaa AFCON kitu ambacho kinaongeza kipato zaidi.

4. Hakiitwi Abeid Aman bali ni Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom