OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
pamoja na uwanja mbovu,Mnyama na Luis Konde Boy wanateleza kama wako kwa Mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maoni yako.TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv). Hata kama fainali itakuwa december pitch itakuwa haiko vizuri sasa kwa nini isiwe sehemu nyingine yenye kiwanja kizuri.
Hakuna mchezaji au shabiki anayefurahia soka likichezwa kwenye viwanja vibovu kama hivi vya mikoani, ni basi tu.
Chagueni uwanja bora hata kama utajirudia mara 1000