GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa kuanzia tu naomba nipewe Ushirikiano na Watu wa pale JNIA kisha Hoteli watakayofikia, Gari ya Wachezaji na Uwanja wote wa Mzee Mkapa.Sasa GENTAMYCINE tunakukabidhi usikani match inayokuja
Hata mpira hafatilii huyo kiazi. Group lilikuwa na Al-ahly bingwa wa kihistoria CAF na AS vita aliyekuwa finalist wa Federation msimu uliokuwa umepita. Bado mnyama akapenya.Hebu litaje hilo group LA Vilaza lilikuwa na team zipi??
Balaa sana,yaani hilo pira biriani kule Niger lilikuwa ni audio,video yake live itachezwa uwanja wa Che Nkapa siku ya marudiano,tunawakaribisha wajae kwa uwingi kushudia pira halisi la mabingwa,sio pira lao nginjanginja.com na miguvu tele bila akiliHii ndio Simba sasa, hawa jamaa zile jezi ndio zimewaponza zile Simba akiona tambala la njano lazima alitafune tu.
Nasikia zimejaa madukani huku vyura wanajiandaa kuwa mashabiki wa kukodi
Tunawashushia Malawi, halafu wanaletwa na basi kupitia Mtwara, hotel watakaa bagamoyo,Kwa kuanzia tu naomba nipewe Ushirikiano na Watu wa pale JNIA kisha Hoteli watakayofikia, Gari ya Wachezaji na Uwanja wote wa Mzee Mkapa.
Alafu Chama magoli yake ni magumu magumu yale siyo rahisi kwa mwingine kuyapataUkimuangalia Chama unaweza kusema mpira kazi Rahisi Sana na ukitaka kujua mpira KAZI ngumu muangalie Ditram Nchimbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio niger,ni nigeria,niger ni nyingine kabisaBalaa sana,yaani hilo pira biriani kule Niger lilikuwa ni audio,video yake live itachezwa uwanja wa Che Nkapa siku ya marudiano,tunawakaribisha wajae kwa uwingi kushudia pira halisi la mabingwa,sio pira lao nginjanginja.com na miguvu tele bila akili
Wasiliana na Manara mzee wa KUDADADEKIKwa kuanzia tu naomba nipewe Ushirikiano na Watu wa pale JNIA kisha Hoteli watakayofikia, Gari ya Wachezaji na Uwanja wote wa Mzee Mkapa.
Sawa,nilitaka niseme NaijaSio niger,ni nigeria,niger ni nyingine kabisa
Teh teh teh......ha ha haHapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.
Hata wangekua yanganaskia plateau wamegoma kuja dar
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuangalia Chama unaweza kusema mpira kazi Rahisi Sana na ukitaka kujua mpira KAZI ngumu muangalie Ditram Nchimbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlihonga nyie. Mkapewa group la vilaza. Ila hamtafika mbali. Rais wa CAF mliemhonga kafukuzwa.