Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Hawa jamaa ni jina tu la Nigeria linawabeba lakini inatakiwa wafungwe hata tatu mechi hii ya leo maana naona hawana ubunifu wowote zaidi ya uchu wa kusawazisha goli kitu ambacho kinaweza kuwaponza wakafungwa bao lingine
 
79' Kipindi cha pili Plateau wanajaribu kutafuta nafasi ya kusawazisha huku Simba wakifanya mashambulizi ya kushtukiza

Plateau United 0-1 Simba SC
 
Parachute united wanafanya jaribio la kuwatoa wachezaji wetu mchezoni na maunga yao.

Lakini hawakujua tulikuja na plan B kama ile ya van damme alipopuliziwa unga na tompoo afu mwisho wa siku akaambulia mateke ya hisia bila kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…