Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
BREAKING 🔴
Uwanja wa Old Trafford Stadium 🏟️ unaotumiwa na klabu ya Manchester United uneshushwa hadhi rasmi kutoka Nyota 5 mpaka Nyota 2 mara baada ya kubainika Kuna mazalia ya panya wengi sana chini ya pitch na sehemu zingine za ndani ya uwanja huo.
Ukaguzi wa kina umefanyika na umebainika kuwa uwanja huo una panya wengi kitu ambacho hakipendezi kwenye viwanja vya kisasa duniani.
[ Mike Keagan ]