Leo kuna kiputwe cha ligi kuu soka Tanzania bara kati ya ambacho kinapigwa mkoani Njombe.
Timu ya Njombe mji inawakaribisha miamba wa Soka kutoka Dar, Simba SC ambao ni vinara wa Ligi kwa sasa.
Mchezo wa mzunguko wa kwanza, simba ilifanikiwa kuwafunga njombe kwa goli 3 bila.
Njombe ambayo inajitete kushuka daraja inalazimika kushinda au kutoa droo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri.
Tuwe pamoja kwa updates za mchezo huu..
Hiki hapa kikosi cha Njombe mji FC
1. David Kissu 2. Christopher Kasewa 3. Stivin Mwaijala 4. Husseny Akilimali 5. Peter Mwangosi 6. Jimmy Mwasondola 7. Awadh Salum 8. Mustapha Bakari 9. Ethiene Engladjoe 10. David Obashi 11. Ditram Nchimbi
SUB
12. Erick Kaphoma
13. Agathon Mapunda
14. Ahmed Adewale
15. Hassan Kapalata
16. Raphael Siame
17. Gwamaka Kilupe
18. Juma Mpakala
Hiki hapa kikosi cha Simba SC
1. Aishi Manula 2. Nicholas Gyan 3. Asante Kwasi 4. Juuko Murshid 5. Yusufu Mlipili 6. Erasto Nyoni 7. James Kotei 8. Shomari Kapombe 9. Emmanuel Okwi 10. John Bocco (C) 11. Shiza Kichuya
SUB
12. Said Nduda
13. Hussein Mohamed
14. Salimu Mbonde
15. Haruna Niyonzima
16. Said Ndemla
17. Mzamiru Yassin
18. Laudit Mavugo
Mfumo 3-5-2
1, Mpira umeshaanza Uwanja wa Sabasaba
2' Okwi anakosa nafasi ya kufunga bao la mapema. Alipata nafasi akiwa yeye na golikipa
3' Simba wameonekana kuanza kwa kasi dakika hizi za mwanzo wakijaribu kusaka goli la mapema
15' Njombe wanapata kona, inapigwa na kuokolewa
16' Mpira ni kushambuliana kwa zamu
17'Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
John Raphael Bocco anaiandikia Simba goli la kwanza baada kutuliza shuti lililopigwa na beki Yusuph Mlipili kisha kuliunganisha golini huku golikipiga akijaribu kulizuia lakini hakufanikiwa.
21' Simba wanapoteza nafasi ya wazi baada ya shuti kupigwa na Gyan likamkosa Kichuya, akalipata Okwi lakini likatoka nje.
23' Faul inapigwa kuelekea lango la Njombe Mji.
26'Nchimbi anapiga shuti kubwa lakini inakuwa goli kiki
28'John Bocco anawekwa chini na beki ndani ya box, referee anasema twende.
30'Faul inapigwa kwenda lango la Njombe
32'Shomari ananyoosha shuti kali golini, linadakwa na golikipa.
33' Njombe wanajitahidi kutafuta goli la kusawazisha na mpira unazidi kuongezeka kasi.
34'Faul inapigwa kwenda Simba na Bakari mustapha, shuti lake linazua tafrani kwenye lango la simba lakini hatari inaondoshwa.
36'Njombe wanafika tena kwenye lango la simba lakini wandhibitiwa.
38' Aishi Manula amepata maumivu ya paja na anagangwa.
40'Mpira unaendelea sasa baada ya Aishi kugangwa.
42'Njombe wanapoteza nafasi ya wazi na Aishi Manula anadaka.
43'Okwi anaingia ndani ya 18, anaunawa mpira.
45'Mpira unarushwa kuelekea lango la Njombe
45+3' Faul inapigwa na Juuko kuelekea Njombe Mji, golikipa anaidaka
Mpira ni Mapumziko
45'Kipindi cha pili kinaanza.
46' Njombe Mji wanarudi kwa kasi sana na wameshafika golini kwa Simba.
47'Simba wanapata kona, kona inapigwa na haijawa na madhara.
48'Njombe mji wanapiga faul kupita kwa Nchimbi ila inatoka nje
49' Njombe wanapata kona, inakuwa ni pigwa nikupige ila kipa anadaka
50' Kona inapigwa kwenye lango la Njombe ila haijaleta madhara.
52'Anatoka Okwi, anaingia Mavugo
54' Faul inapigwa kwenda lango la Njombe ila haijazaa matunda.
57' James Kotei anawekwa chini, anaonyeshwa kadi ya njano.
58' Njombe wanapoteza nafasi ya wazi baada ya shuti la faul
59' Mchezaji wa simba James Kotei yupo chini na anagangwa. Anatolewa nje
60'Anaingia Salim Mbonde.
63' Mpira hauna kasi sana
64'Njombe wanapiga shuti kali langoni mwa simba ila halileta madhara
65' Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
John Raphael Bocco anapokea pasi safi toka kwa Shomari Kapombe anaiunganisha moja kwa moja golini na kuiandikia simba goli la pili.
68'Juuko Murshid anaonyeshwa kadi ya njano. Faul inapigwa kipa anadaka.
69'Faul inapigwa kwenda Simba, kipa anaipangua na inakuwa ni kona.
70'Kona inapigwa lakini inapanguliwa.
71'Shomari Kapombe anapiga mshuti mkubwa golini mwa Njombe ila unatoka nje.
73'Erasto Nyoni anaonyeshwa kadi ya njano.
74' Nchimbi anapiga shuti nje
76' Shomari Kapombe anawachachafya mabeki wa Njombe na inakuwa ni kona, kona haina madhara.
78'Njombe mji wanajitahidi kuipita ngome ya simba lakini hawajafanikiwa kupata bao.
80' Anatoka Steven, anaingia Agatoni Mapunda kwa upande wa Njombe
81' Anatoka Shiza Ramadhani Kichuya, anaingia Haruna Hakizimana Niyonzima.
83'Yuko chini Asante Kwasi, amegangwa na sasa anaendelea na mpira.
86' Salim Mbonde anagangwa baada ya kuumia
88'Simba wanapiga faul, lakini haina madhara.
90'Mpira unarushwa kuelekea lango la Njombe ila haujaleta madhara
90+2' Simba wanaliandanama lango la Njombe lakini ulinzi wa Njombe unawazuia.
90+3'Nchimbi anapiga shuti kubwa ila unatoka nje.
Na Mpira umekwisha.
Njombe Mji 0, Simba 2.