barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hiki ni kituko.Yanga wanaumia zaidi ya Njombe Mji.
Anapigwa Njombe ila Yanga ndio wanaumia. Hii ni sayansi ya giza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ni kituko.Yanga wanaumia zaidi ya Njombe Mji.
Hii dua imeshapitwa na wakati omba ingine.Nawatakia njombe mji ushindi hata wa bao 1.
Hahahaha. Hawa jamaa sijui inakuwajeHiki ni kituko.
Anapigwa Njombe ila Yanga ndio wanaumia. Hii ni sayansi ya giza.
Chama la chura ulikuwa usingizini ama.Njombe piga hao mikia
Muungaliage mazingira ya kutakia kitu heriKILA LA HERI NJOMBE MJI
Njombe timu yangu ya mkoa
Kila la kher njombe mji pigien hao mezan fc
KILA LA HERI NJOMBE MJI
njombe mji timu piga hao mikia tupo nyuma yenu
Njombe mji piga hao...waganga wote wa njombe/wakinga tupo nyuma yenu