Uwanja wa Sabasaba: Njombe Mji 0-2 Simba SC, Ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa Sabasaba: Njombe Mji 0-2 Simba SC, Ligi kuu soka Tanzania bara

hii simba mbona inaweza kudroo na njombe,kwan kwa stand na mbao kule mwanza ilikuwaje
 
simba.jpg

Makomandoo wa Simba, wakilinda benchi litalokaliwa na wachezaji wao kwenye Uwanja wa Sabasaba, Njombe. Simba watakuwa wageni wa Njombe Mji leo saa10:00 jioni
 
Naona Bado Tunashiklia kichwa Na Shingo Yake ( Msielewe Vibaya)
 
Back
Top Bottom