Hivi mpaka uwe kocha wa timu ya taifa unatakiwa uwe vipi sielewi Kwa hapa tz maana huyu kocha wa coast ndio kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania kafungwa goli nyingi nyingi duuu Kwan makocha wenye Mambo mazuri hawapo mpaka hawa najiulizaga maswali mengi tu