waoooooooooooHapa ndio umeharibu sasa.
Azam ana Uwanja miaka nenda rudi ambao unachezewa mpaka mechi za Kimataifa na hakuna aliyejinyonga ije kuwa huo ambao hata majukwaa hauna. 🤔
Tooba. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hamna uwanja hapo,hata uwanja bunju veteran mzuriUlishawahi kufika hapo Uwanjani Mkuu?
Wana wapenzi wasiozidi 100 na wapo Nyegezi tu, hizo tambo za uwanja zitafika wapi.Gwambina wana arena wako kimya..kupanda nyasi na vyuma chakavu vya magoli ndio makelele yote haya
Wanakera sanaManara ndio chanzo cha yote haya Kaka.
Wakati wowote Simba itaanza kujifua kwenye uwanja wake ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam baada ya kukamilika kwa uwanja wa nyasi asili
Kwa sasa matengenezo ya vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji ndio yanayoichelewesha Simba kuhamia Bunju
Lakini mpaka mwisho wa mwezi huu Simba itaanza rasmi kutumia uwanja wake na kuepukana na gharama za viwanja vya kukodi
Aidha ujenzi wa uwanja wa nyasi bandia unaendelea ambapo baada ya matengenezo ya awali, zoezi la kutandika nyasi ndio linalofuata
Hii ndio Simba ambayo wengi walikuwa wakiisubiri kwa hamu
Kwani lilikuwa jambo la aibu kwa klabu kongwe kama Simba kutokuwa na uwanja hata wa mazoezi
Baada ya kukamilika awamu ya kwanza, awamu ya pili itawashirikisha Wanasimba wote ambapo ujenzi wa majukwaa pamoja na miundombinu mingine utafanyika
Lengo likiwa kuhakikisha uwanja huo unaweza kubeba kuanzia mashabiki 10,000 na kuendelea
View attachment 1226128
😀😀😀Hamna uwanja hapo,hata uwanja bunju veteran mzuri
Hizi za Chura FC ni kauli pilipili mwendokasi. Wazijua hizo Shadeeya? Usithubutu kuitafunaMtani mmeweka uzi wacheni watu wafunguke. Nyie mnataka kauli Sukari tu.
Masihara hayo ujue, huo unaoitwa "Uwanja wa Kaunda" ingefaa uitwe Bonde la mpunga la KaundaOooooooh. Basi muongeage pole pole sababu hata sisi tuko mbioni kumalizia ule Uwanja wa Kaunda.
Pale sio pa kutandaza nyasi pale ni pakupeleka mbegu za mpunga🤣🤣🤣Tutakapotandaza nyasi ndio tuanze kuulizana wapi pesa imetoka Mtani.
Mo kapigaje pesa sasa mkuu? Unamaanisha amejiibia mwenyewe au? SijaelewaMO amepiga pesa sana hapo kwenye huo ujenzi wa viwanja. sijaona uwanja wa ajabu hapo, yaani mwekezaji wa bilioni 20 anashindawa kujenga uwanja aibu sana
Kina kilomon,ndo wanaturudisha nyuma kwenye soka
Sio timu zote kongwe zinaviwanja vyao,ac millan ,inter Milan , Chelsea zote hizo hazin viwnjaTanzania bado kuna safari ndefu sana ktk suala zima LA maendeleo endelevu.
Timu za Simba NA Yanga kama zingekuwa kwenye nchi zingine hadi Leo hii ndio zingekuwa timu "bilionea" KWA ukwasi WA pesa. Kununua tu kiwanja basi Watz wameona kama timu imeendelea sana kumbe Ni majanga tupu.Kutokana NA ukongwe WA timu hizi, mpaka sasa ingekuwa hata NA viwili kikubwa vya kuweza kuchukua watazamaji angalau 45,000 kwenye kila mji mkubwa hapa nchini Tz.
Tutakapotandaza nyasi ndio tuanze kuulizana wapi pesa imetoka Mtani.
Yanga sawa na mzee wa miaka 200 anajigamba na nini?Hapa sawa na mzee wa miaka 60 afurahie na kujigamba kwa kununua baiskeli! Wale Gwambina wametoa somo zuri sana.....
Ngoja huyu Mtani King Ngwaba atujibu.Hivi huo uwanja au garden pana. nielewesheni tofauti ya garden na uwanja wa simba
Kwahiyo kama kuna makosa yalifanyika huko nyuma ni bora waache kabisa kujenga viwanja sasa hivi sio?Tanzania bado kuna safari ndefu sana ktk suala zima LA maendeleo endelevu.
Timu za Simba NA Yanga kama zingekuwa kwenye nchi zingine hadi Leo hii ndio zingekuwa timu "bilionea" KWA ukwasi WA pesa. Kununua tu kiwanja basi Watz wameona kama timu imeendelea sana kumbe Ni majanga tupu.Kutokana NA ukongwe WA timu hizi, mpaka sasa ingekuwa hata NA viwili kikubwa vya kuweza kuchukua watazamaji angalau 45,000 kwenye kila mji mkubwa hapa nchini Tz.