Uwanja wa Simba Bunju Wanoga

Uwanja wa Simba Bunju Wanoga

Yanga na mashabiki wake kichefu chefu kweli. Wao wataendelea tumia Loyola hadi 2100
 
Gwambina wana arena wako kimya..kupanda nyasi na vyuma chakavu vya magoli ndio makelele yote haya
Wana wapenzi wasiozidi 100 na wapo Nyegezi tu, hizo tambo za uwanja zitafika wapi.
 
Iri mradi pasiee na mafuriko kifuku
Wakati wowote Simba itaanza kujifua kwenye uwanja wake ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam baada ya kukamilika kwa uwanja wa nyasi asili

Kwa sasa matengenezo ya vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji ndio yanayoichelewesha Simba kuhamia Bunju
Lakini mpaka mwisho wa mwezi huu Simba itaanza rasmi kutumia uwanja wake na kuepukana na gharama za viwanja vya kukodi

Aidha ujenzi wa uwanja wa nyasi bandia unaendelea ambapo baada ya matengenezo ya awali, zoezi la kutandika nyasi ndio linalofuata

Hii ndio Simba ambayo wengi walikuwa wakiisubiri kwa hamu

Kwani lilikuwa jambo la aibu kwa klabu kongwe kama Simba kutokuwa na uwanja hata wa mazoezi

Baada ya kukamilika awamu ya kwanza, awamu ya pili itawashirikisha Wanasimba wote ambapo ujenzi wa majukwaa pamoja na miundombinu mingine utafanyika
Lengo likiwa kuhakikisha uwanja huo unaweza kubeba kuanzia mashabiki 10,000 na kuendelea

View attachment 1226128
 
Hivi huo uwanja au garden pana. nielewesheni tofauti ya garden na uwanja wa simba
 
Tanzania bado kuna safari ndefu sana ktk suala zima LA maendeleo endelevu.
Timu za Simba NA Yanga kama zingekuwa kwenye nchi zingine hadi Leo hii ndio zingekuwa timu "bilionea" KWA ukwasi WA pesa. Kununua tu kiwanja basi Watz wameona kama timu imeendelea sana kumbe Ni majanga tupu.Kutokana NA ukongwe WA timu hizi, mpaka sasa ingekuwa hata NA viwili kikubwa vya kuweza kuchukua watazamaji angalau 45,000 kwenye kila mji mkubwa hapa nchini Tz.
Sio timu zote kongwe zinaviwanja vyao,ac millan ,inter Milan , Chelsea zote hizo hazin viwnja
 
Hapa sawa na mzee wa miaka 60 afurahie na kujigamba kwa kununua baiskeli! Wale Gwambina wametoa somo zuri sana.....
Yanga sawa na mzee wa miaka 200 anajigamba na nini?
 
Tanzania bado kuna safari ndefu sana ktk suala zima LA maendeleo endelevu.
Timu za Simba NA Yanga kama zingekuwa kwenye nchi zingine hadi Leo hii ndio zingekuwa timu "bilionea" KWA ukwasi WA pesa. Kununua tu kiwanja basi Watz wameona kama timu imeendelea sana kumbe Ni majanga tupu.Kutokana NA ukongwe WA timu hizi, mpaka sasa ingekuwa hata NA viwili kikubwa vya kuweza kuchukua watazamaji angalau 45,000 kwenye kila mji mkubwa hapa nchini Tz.
Kwahiyo kama kuna makosa yalifanyika huko nyuma ni bora waache kabisa kujenga viwanja sasa hivi sio?
 
Back
Top Bottom