Uwanja wa Simba Bunju Wanoga

An Eagle ebu waulize viongozi wa yanga ni lini wataanza kujenga uwanja kama huu wa simba la sivyo nyie mashabiki mnaojielewa mtaamia simba
 
Usikute wewe unakaa nyumba ya kupanga!

Hebu tuambie wewe ni kipi ulichokifanya katika maisha yako cha kukufanya uwe mwerevu kwenye maendeleo
Ungekuwa unanifahamu kwanza ungeona aibu hata kufungua mdomo kuongea au kuogopa kabisa kuanza kujibizana NA Mimi. Unataka nikuambie Mali nilizonazo NA kipato nilichonacho ili uwajulishe TRA wanipe Kesi ya uhujumu uchumi wa Tz kusudi niingie kwenye mapatano haramu NA Serikali ya kugawana Mali zangu na ili ipate pesa za kumalizia miradi yao ya ujenzi wa ma-fly over ya Ubungo, SGR, Stiglers , etc?? sitanasa kwenye mtego huo kamwe.

Anyway, Ni kweli kabisa kuwa Mimi ninaishi ktk nyumba ya kupanga , KWA sababu siwezi kujenga nyumba kwenye nchi za Watu ugenini.Huku Mimi nachuma tu pesa Lakini kujenga nyumbani Tz, isitoshe nchi yao yenyewe tayari imeshajengeka yote imemalizika NA hakuna Ardhi tena iliyobaki wazi ambayo Unaweza kujenga nyumba, labda ununue nyumba kisha uibomoe NA hatimaye uweze kujenga tena nyumba nyingine.
 
Sio timu zote kongwe zinaviwanja vyao,ac millan ,inter Milan , Chelsea zote hizo hazin viwnja

Uingereza Ardhi ilishamalizika yote tangu miaka ya 1400, baada ya hapo hapa kuwa NA Ardhi tena ya kutosha KWA matumizi makubwa ya ujenzi WA viwanja. Tz Ardhi IPO bwerere ya kutosha inapatikana hadi Leo hii
 
Uingereza Ardhi ilishamalizika yote tangu miaka ya 1400, baada ya hapo hapa kuwa NA Ardhi tena ya kutosha KWA matumizi makubwa ya ujenzi WA viwanja. Tz Ardhi IPO bwerere ya kutosha inapatikana hadi Leo hii

Kwahiyo uwanja wa Emirates, Wa Spurs vimejengwa Mbinguni au?
Na uwanja wa Liverpool mpya wa Mazoezi unajengwa baharini au?
Project ya uwanja wa Chelsea unataka kujengwa Angani au?

Acha kubwabwaja
 
Kiwanja gani kina matege. Magori ys mianzi. Hamna kitu hapo.
 
Kwahiyo uwanja wa Emirates, Wa Spurs vimejengwa Mbinguni au?
Na uwanja wa Liverpool mpya wa Mazoezi unajengwa baharini au?
Project ya uwanja wa Chelsea unataka kujengwa Angani au?

Acha kubwabwaja
Gharama za kupata Ardhi ya kutosha UK Ni kubwa sana kupita kiasi ukilinganisha NA hali ilivyo nchini Tz. Upatikanaji WA Ardhi nchini Tz ni sawa NA bure, unlike in UK.
 
Kwa mtizamo wangu Simba walipaswa wapongezwe kwa sababu pesa zilizokuwa zinatumika kukodi viwanja vya mazoezi sasa zitaokolewa na kufanyia kazi nyingine. Na hii ilipaswa kuwa changamoto kwa Yanga na vilabu vingine walau kila timu iwe na uwanja wake wa mazoezi. Timu zetu zinatumia kiasi kikubwa sana cha pesa kukodi viwanja vya mazoezi na wakati mwingine huwa ni vichaka vya upigaji pesa kwa viongozi wajanja wajanja.
 
Kwani kwa uelewa wako mkuu, maendeleo ni nini?

Team haikuwahi kuwa na kiwanja hata cha mazoezi, lakini sasa inacho tena siyo kimoja viwili na vyenye hadhi ya kimataifa. Embu niambie ni nini kitamzuia mtu asiseme kuwa hilo si jambo la maendeleo?
 
Muwe na tabia ya ku appreciate vitu vzr mwenzako anavyofanya, itakusaidia sana kuepukana na sonona.

Msimu uliopita tu hapo, uwanja wa nyasi wa taifa baada ya kupiga mvua mechi ziliahirishwa, na huo je haukuzingatia utaalamu wakati wa kujenga? Au kwasababu Simba anajenga ndy tunatoa povu?
 
Mnaona wivu Tu...kisa bwawa lenu Kaunda Lina shape ya hexagon!
 
Duhhh....lodilofa wa gazeti la sani
 
Ukikamilika naomba Hati apewe MZEE Kilomoni ,nazani ni mwaminifu katika kutunza Hati
 
Gwambina wana arena wako kimya..kupanda nyasi na vyuma chakavu vya magoli ndio makelele yote haya
Vifusi mlivyopanda pale matopeni havijaota mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…