Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20, Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingine hauna maana, Allianz Arena ya Bayern Munchen inachukua watu elfu 75 na ni mchezo mmoja tu unachezeka pale.
.
Hapa ndipo tutakapoona mantiki ya kale ka msemo NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
 
Ujuaji mwingine hauna maana, Allianz Arena ya Bayern Munchen inachukua watu elfu 75 na ni mchezo mmoja tu unachezeka pale.
.
Hapa ndipo tutakapoona mantiki ya kale ka msemo NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
Kafanye utafiti zaidi alafu uje hapa na facts. Mleta mada anachosema kina ukweli Fulani, kwa kukusaidia anza kutafuta kwenye Dictionary maana ya neno Arena
 
Hapana Eddy hebu jaribu ku Google kidogo tu utapata majibu tofauti kabisa na hili lako
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha uzwazwa wewe ndegelec!!
Eti sehemu ikipewa jina Arena huwezi cheza mpira wa miguu!
Haya tuambie iweje viwanja hivi vitumike kuchezea mpira wa miguu angali vina jina Arena na vinabeba zaidi ya watu elfu 20..!?!
Bila shaka hicho ulichoandika ni kutokana na story za vijiweni huko!
...umesikia hayo kutoka kwa zwazwa mmoja na wewe ukakimbilia kuja kuanzisha uzi humu!!
•Allianz arena -Buyern Munich(75,000)
•BayArena-Bayer Leverkusen(30,210)
•Luminus Arena-K.R.C. Genk(24,604)
•Otkritie Arena-Spartak Moscow (45,360)
•Red Bull Arena -RB Leipzig(42,959)
•RZD Arena-Locomotiv Moscow (27,320)
•Arena -FC Schalke 04 (62,271)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yule muhindi MO akiachana na Simba uwanja wake ataufanya wa criket , ndio maana kauita arena

Acha ujuha wewe!!
Hivi viwanja vyenye majina arena ni vya cricket? Mbutembute kwa nini mnadanganyana hivi, au ni stress za kukosa mpunga mnaliwazana!

•Allianz arena -Buyern Munich(75,000)
•BayArena-Bayer Leverkusen(30,210)
•Luminus Arena-K.R.C. Genk(24,604)
•Otkritie Arena-Spartak Moscow (45,360)
•Red Bull Arena -RB Leipzig(42,959)
•RZD Arena-Locomotiv Moscow (27,320)
•Arena -FC Schalke 04 (62,271)



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…