Sehemu
ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu.Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball,ice hockey,mikutano na matamasha.Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20,Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Acha uzwazwa wewe ndegelec!!
Eti sehemu ikipewa jina Arena huwezi cheza mpira wa miguu!
Haya tuambie iweje viwanja hivi vitumike kuchezea mpira wa miguu angali vina jina Arena na vinabeba zaidi ya watu elfu 20..!?!
Bila shaka hicho ulichoandika ni kutokana na story za vijiweni huko!
...umesikia hayo kutoka kwa zwazwa mmoja na wewe ukakimbilia kuja kuanzisha uzi humu!!
•Allianz arena -Buyern Munich(75,000)
•BayArena-Bayer Leverkusen(30,210)
•Luminus Arena-K.R.C. Genk(24,604)
•Otkritie Arena-Spartak Moscow (45,360)
•Red Bull Arena -RB Leipzig(42,959)
•RZD Arena-Locomotiv Moscow (27,320)
•Arena -FC Schalke 04 (62,271)
Sent from my iPhone using JamiiForums