Mtani nipe elimu hebu. ๐Mimi ni nani hata nikubaliane na mtoa mada.
Level gani Mtani?Mtani nipe elimu hebu. ๐
Level ambayo nitaelewa nini maana ya neno Arena Mtani?Level gani Mtani?
Huku kwetu ni 2019, ndio kwanza tuna pitch tu , uwanja bado hatujatengeneza, vipo huko kwenu 2035, uwanja ukoje ??Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena
Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning
Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sports arena ya wasafi vp mkuu inaelekea unajua mengi sana ww
Kwa hiyo kuita Arena hapo kwenye shamba la viazi ni sawa?Ujuaji mwingine hauna maana, Allianz Arena ya Bayern Munchen inachukua watu elfu 75 na ni mchezo mmoja tu unachezeka pale.
.
Hapa ndipo tutakapoona mantiki ya kale ka msemo NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
Kwa heshima bila taadhima mtani wewe unafahamu nini kuhusu Arena?๐ ๐ ๐ Tatizo Mtani nyie ni wepesi wa kupanic.
Tujibuni tuelewe acheni j a z b a. ๐
Uwanja wa vyura uko wapi?Kwa hiyo kuita Arena hapo kwenye shamba la viazi ni sawa?
ni wake mikia mmechuuzwa.Uwanja Kutumia jina la Mdhamini/Mwekezaji badala ya jina la Timu/Klabu hiyo sio Sahihi. Uwanja ulipaswa kuitwa Simba SPorts Club Arena sio MO Arena!
ni wake mikia mmechuuzwa.
Wakikataaa na hili na wakija Tena nitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shadeeya mamii sheria namba moja ya mchezo wa soka inahusu sehemu ya kuchezea au uwanja. Dar Young Africans imeanzishwa mwaka 1935, ina umri wa miaka 84. Hadi leo hii inakaribia 2020 hawana uwanja angalau wa kufanyia pushups! Ukiwauliza sana sana wataishia kukuonyesha lile bonde la kulimia mpunga๐๐๐๐๐Sesten Zakazaka najua huwa hii lugha haikupigagi chenga.
Vp hiki kilichoandikwa na kilichopo kule Bunju kwa sasa viko sahihi au ndio na wewe utashikilia kwamba munaelekea huko? ๐๐
Hivi nyumba ikikosa viti na vitanda haitwi nyumba...achana na kuishi kutumia Kamusi Mkuu!Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena
Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning
Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Michezo mingine, ni Futsal, Uni Hockey, Union Rugby, na Swimming. Pia zinafanyika shows za muziki.Allianz Arena kuna mchezo gani mwingine unachezwa zaidi ya Soccer?
Don't make me despise you please
Lakini mbona simple tu broo!! Umeambiwa uliza kwenye dictionary Arena ina maana gani? uikishapata maana njoo sasa ubishane naoAllianz Arena kuna mchezo gani mwingine unachezwa zaidi ya Soccer?
Don't make me despise you please
Uko sahihi...yule muhindi MO akiachana na Simba uwanja wake ataufanya wa criket , ndio maana kauita arena
mleta mada inawezekana kuwa yupo sahihi ila sema kosa lake ni kutokui qualify argument yake.Hapana Eddy hebu jaribu ku Google kidogo tu utapata majibu tofauti kabisa na hili lako
Sent using Jamii Forums mobile app