Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena

Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning

Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu ni 2019, ndio kwanza tuna pitch tu , uwanja bado hatujatengeneza, vipo huko kwenu 2035, uwanja ukoje ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingine hauna maana, Allianz Arena ya Bayern Munchen inachukua watu elfu 75 na ni mchezo mmoja tu unachezeka pale.
.
Hapa ndipo tutakapoona mantiki ya kale ka msemo NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
Kwa hiyo kuita Arena hapo kwenye shamba la viazi ni sawa?
 
Kwa hiyo kuita Arena hapo kwenye shamba la viazi ni sawa?
Uwanja wa vyura uko wapi?
Hujamsikia mwenyekigoda wenu Msola ametuma wana vyura wenzio waende Mo Simba Arena wakajifunze?
 
Uwanja Kutumia jina la Mdhamini/Mwekezaji badala ya jina la Timu/Klabu hiyo sio Sahihi. Uwanja ulipaswa kuitwa Simba SPorts Club Arena sio MO Arena!
 
MO kawaona wanasimba mambumbumbu sana lol, yaani hakuna aliejua janja yake ya kuuita uwanja ARENA? kesho ataugeuza uwanja wa mikutano ya wanandugu wake. Uchebe alikuwa sahihi kusema viongoz wa simba hawajasoma
 
Sesten Zakazaka najua huwa hii lugha haikupigagi chenga.

Vp hiki kilichoandikwa na kilichopo kule Bunju kwa sasa viko sahihi au ndio na wewe utashikilia kwamba munaelekea huko? 😎😎
Shadeeya mamii sheria namba moja ya mchezo wa soka inahusu sehemu ya kuchezea au uwanja. Dar Young Africans imeanzishwa mwaka 1935, ina umri wa miaka 84. Hadi leo hii inakaribia 2020 hawana uwanja angalau wa kufanyia pushups! Ukiwauliza sana sana wataishia kukuonyesha lile bonde la kulimia mpunga😀😀😀😀😀

Sports Club Simba, Wanalunyasi, wekundu wa Msimbazi hawataki maneno mengi, wameshaanza kwa vitendo na plan ni kuwa arena. Uwanja wa kuchezea ni hatua ya mwanzo. Wachina wanamsemo wao, "safari ya miles elfu moja huanza na hatua moja. Shaka ondoa, kimenza kiwanja. Arena ipo njiani, ila na nyie anzeni basi japo na pitch ya kuchezea chandimu maana ndio sheria namba moja ya soka Shadeeya
 
Hapana Eddy hebu jaribu ku Google kidogo tu utapata majibu tofauti kabisa na hili lako

Sent using Jamii Forums mobile app
mleta mada inawezekana kuwa yupo sahihi ila sema kosa lake ni kutokui qualify argument yake.

kwamba arena ni uwanja wa kabumbu ni sawa.

kwamba arena ni lazima iwe na viti vya kukalia kuzunguka pitch ni sawa.

sasa, kama uwanja wa Simba bado haujawekwa hivyo viti, then hauwezi kuitwa arena hadi utakapo qualify kwa viti.
swali..je uwanja wa Simba umejengewa viti?

20191213_152430.jpg
 
Back
Top Bottom