Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ntakuja Mkuu.Mkuu kwenye jukwaa kule umepotea , uwepo wako ni mhimu kutupa vitu konki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakuja Mkuu.Mkuu kwenye jukwaa kule umepotea , uwepo wako ni mhimu kutupa vitu konki
Mbumbumbu ni wa kuhurumia, Rage hakukosea kuwaita hivyo hawajui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwenzako kanitajia timu hewa umeona mtani?Sina ninachoelewa Mtani ndio mana nimejaa hapa nipate ABC. 😎
Yaaah 2035 achana nayo ishu iko kwenu huko kujipa majina msiojua tafsir zakeHuku kwetu ni 2019, ndio kwanza tuna pitch tu , uwanja bado hatujatengeneza, vipo huko kwenu 2035, uwanja ukoje ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio vioja
Mungeshughulika kwa bidii hii kutafuta fedha ya kulipa mishara, tungekuwa mbali sana wenzangu!! Tunashupalia kukejeli hatua za wenzetu tu!!Kwa hiyo kuita Arena hapo kwenye shamba la viazi ni sawa?
Kwa kifupi arena ni uwanja wa ndani.Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20, Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzwazwa wewe ndegelec!!
Eti sehemu ikipewa jina Arena huwezi cheza mpira wa miguu!
Haya tuambie iweje viwanja hivi vitumike kuchezea mpira wa miguu angali vina jina Arena na vinabeba zaidi ya watu elfu 20..!?!
Bila shaka hicho ulichoandika ni kutokana na story za vijiweni huko!
...umesikia hayo kutoka kwa zwazwa mmoja na wewe ukakimbilia kuja kuanzisha uzi humu!!
•Allianz arena -Buyern Munich(75,000)
•BayArena-Bayer Leverkusen(30,210)
•Luminus Arena-K.R.C. Genk(24,604)
•Otkritie Arena-Spartak Moscow (45,360)
•Red Bull Arena -RB Leipzig(42,959)
•RZD Arena-Locomotiv Moscow (27,320)
•Arena -FC Schalke 04 (62,271)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20, Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu ni wa kuhurumia, Rage hakukosea kuwaita hivyo hawajui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app