Uwanja wa Simba uliowekwa jiwe la msingi na Mo Dewj ni upi tena?

Uwanja wa Simba uliowekwa jiwe la msingi na Mo Dewj ni upi tena?

Pesa anayotoa lazima ataihusisha na 20 bilioni au atadai mambo yakienda kombo HAKUNA CHA BURE! !!
Naona sasa umeamua kumlazimisha kabisa. Eti LAZIMA
🤣
🤣
🤣
 
Nawapa hongera sana hawa mashabiki, maana wanaenda kuiangalia timu yao bila kujali inaenda kucheza na nani! Kuna watu hapa waliposikia Kariobangi (mechi ya kirafiki), wakajua watashinda, wakajitutumua kwenda uwanjani. Waliposikia Township Rollers (mechi ya mashindano), wakaingia hofu, hawakwenda kuishangilia timu yao. Hiyo ni akili au baridiiii? Nendeni tu mechi yoyote mkaishangilie timu yenu, tena muwe kama hao washabiki wa mnyama walioenda bila kujali wanacheza na nani!
Oya oya twende tu
 
Back
Top Bottom