Naona sasa umeamua kumlazimisha kabisa. Eti LAZIMAPesa anayotoa lazima ataihusisha na 20 bilioni au atadai mambo yakienda kombo HAKUNA CHA BURE! !!
Umebadilisha avatar hadi nimekusahau
Hahaaa. π Pole mtani. Ndo mie.Umebadilisha avatar hadi nimekusahau
Oya oya twende tuNawapa hongera sana hawa mashabiki, maana wanaenda kuiangalia timu yao bila kujali inaenda kucheza na nani! Kuna watu hapa waliposikia Kariobangi (mechi ya kirafiki), wakajua watashinda, wakajitutumua kwenda uwanjani. Waliposikia Township Rollers (mechi ya mashindano), wakaingia hofu, hawakwenda kuishangilia timu yao. Hiyo ni akili au baridiiii? Nendeni tu mechi yoyote mkaishangilie timu yenu, tena muwe kama hao washabiki wa mnyama walioenda bila kujali wanacheza na nani!
Twende kwa Mkapa tukaujaze kusapoti chama letu... go Simba goOya oya twende tu
Hahaaa. π Pole mtani. Ndo mie.
Ahsante! Nimeirudisha rasmi rafiki. πππHii avatar nzuri tangu mwanzo