Uwanja wa Sokoine bado

Uwanja wa Sokoine bado

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana.

Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
 
TFF huwa hawana consistency wanapofungia viwanja, mara nyingi maamuzi yao ya kuvifungulia huwa yakukurupuka zaidi ya uhalisia, pitch za viwanja vingi bado ni mbovu.
 
Back
Top Bottom