B bulabo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 628 Reaction score 780 Sep 15, 2022 #1 Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana. Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana. Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Sep 15, 2022 #2 Uliangalia mechi
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Sep 15, 2022 #3 TFF huwa hawana consistency wanapofungia viwanja, mara nyingi maamuzi yao ya kuvifungulia huwa yakukurupuka zaidi ya uhalisia, pitch za viwanja vingi bado ni mbovu.
TFF huwa hawana consistency wanapofungia viwanja, mara nyingi maamuzi yao ya kuvifungulia huwa yakukurupuka zaidi ya uhalisia, pitch za viwanja vingi bado ni mbovu.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Sep 15, 2022 #4 Kiwanja mpira unadunda dunda kama nini sijui...