DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Mikia mnatia huruma sana. TZ prisons wamekubali kichapo lkn nyie mnalialia utafikiri ndo mliocheza.Eti Refa anapigwa kichwa na Dante na anachekelea tu.
Hamna kadi wala kada.
Kweli hii timu ni ya Wananchi, na inambelekewa ili ichukuwe kombez.
Naona akili zimekurudia bwana mikiaLeo raha sana kwa upande wenu
POINT 3
GOLI 3
JUMA 3
TAREHE 3
Msisahau kuweka akiba ya maneno tafadhali.
Mikia mnatia huruma sana. TZ prisons wamekubali kichapo lkn nyie mnalialia utafikiri ndo mliocheza.Eti Refa anapigwa kichwa na Dante na anachekelea tu.
Hamna kadi wala kada.
Kweli hii timu ni ya Wananchi, na inambelekewa ili ichukuwe kombez.
Napita hapo na kijani zangu,Usipite mtaa wa Msimbazi kesho
Chikupe alitakiwa apewe umeme mapema sana, hana nidhamu ata kidogo, leo refa kawabeba mno, nibebe fc.Mikia mnatia huruma sana. TZ prisons wamekubali kichapo lkn nyie mnalialia utafikiri ndo mliocheza.
Huyo refa kupigwa kichwa kumechangiaje ktk ushindi wa yanga yetu?
Haya waandikien Tz prisons ili waipeleke Tff kabla muda haujaisha
Kaka unalikumbuka tukio LA Zidane na Marco Materazzi? Zidane na umaarufu wake kipindi hicho alimcharaza MTU kichwa, ili in moja ya matukio ya kawaida kutokea kwenye soka. Huwezi jua labda yule mchezaji kamdhihaki Ngassa kwa matusi, Ngassa kama binadamu wa kawaida kashindwa kukontrol hasira, kama ilivyotokea kwa zizzou henzi hizo. Hiyo ni case study ya ukweli, kilichotokea Leo kwa Ngassa kimewahi kutokea sana kwenye soka. Ila alichofanya Mchezaji was Tz Prison ndiyo kipya kabisa, sidhani kama kiliwahi tokea.Kama TFF ikimuongezea adhabu itakuwa ni jambo la busara zaidi, alichofanya sio kitendo cha kiungwana kabisa, tangu nimeanza kufuatilia huyu bwana mdogo kwenye 2006 sijawahi kushuhudia hiki alichokifanya leo, alikotupeleka leo tulishatoka huko, sasa hivi kuna kamera kibao uwanjani, Ngasa anasahau kuwa hakuna anachoweza kukifanya kikakwepa kamera zote zilizopo uwanjani, poor him.
Achana na mbumbumbu hao tumeshawazidi point 11 mpaka sasaKama mko vizuri mbona hamwongozi ligi hadi sasa?
Kwa nini mmepoteza mchezo mmoja hadi sasa?
Yanga hatuamini ktk bahati, nyie ndo mnaosema tunabahatisha
Kama mnatuonea wivu kwa bahati yetu mtajibeba msimu huu.
Mkuu kyata Ngasa hakudhihakiwa kwa namna yoyote ile bali mchezaji wa prison alirudisha mpira nyuma baada ya yanga kupata foul wakati huo yanga ipo nyuma kwa goli moja hivyo Ngasa akapaniki, mfano wako ni sahihi ila scenario ndio mbili tofauti.
Mpigie simu refa ampe umeme ChikupeChikupe alitakiwa apewe umeme mapema sana, hana nidhamu ata kidogo, leo refa kawabeba mno, nibebe fc.
kiongozi unaonekana unaufahamu mpira hata kama utakuwa hujuwi kuucheza, yule namba 5 ndo chanzo cha haya matokeo ya kupoteza mechiNdugu yangu ulishawahi kucheza mpira au kuongoza kwenye mpira??? Uwanjani kuna mambo mengi sana zaidi ya unayoyaona kwa macho...mle uwanjani mna matusi ya 'kutisha' ukiacha kejeli za hapa na pale...Nina hakika Ngasa aliambiwa 'neno' na yule mchezaji na ambaye alidondoka chini kama amepigwa risasi..of course Ngasa alikosea kwa kurudishia 'tusi' kwa kichwa, ila binafsi aliyenishangaza ni yule mchezaji wa Prison No. 5 aliyetoka nyuma na mbali kwenda kumpiga kichwa Ngasa...yule ndiye aliyeiua Prison...Mchezaji yule wa Prison no 5 ovyo kabisa.
Kwani nyinyi na hilo liteam lenu la bil 1.3 mmekatazwa kuongoza ligi???Ni aibu mkuu Yanga kuongoza ligi timi mbovu sana
Raha ya marathon kumalizia shekhKwani nyinyi na hilo liteam lenu la bil 1.3 mmekatazwa kuongoza ligi???
Huyo mchezaji super-tall wa Msimbazi alikuwa anaitwa nani?Power bank fcView attachment 954800
Kuna mambo ambayo tunahitaji kuyatafakari kwanza kabla ya kuyatamka, labda kama tunakusudia kuchangamsha mjadala tu. 1. Bahati/Upepo: Kama timu mbovu imeweza kuwa na bahati mara 14 mfululizo, basi lazima timu hiyo itakuwa na uwezo wa kumiliki bahati hiyo, yaani bahati imekuwa ni mali ya timu hiyo. Sasa wengine wataipataje? 2. Aibu kwa timu mbovu kuongeza ligi: Aibu hiyo ni kwa nani, anayeongoza au wanaoongozwa? 3. Kigezo cha kutopiga angalau pasi tano: Lengo la pasi ni kuzipiga nyingi au kukufikosha golini ili ufunge? Ni lipi bora kati ya kupiga pasi nyingi lakini zikakuchelewesha kufika golini na zinapokufikisha zikawapa urahisi mabeki kuokoa au hata zisikifikishe golini, au pasi chache zinazokufikisha golini na zikawapa taabu mabeki kuokoa hadi zikazaa magoli? Mchezo wa pasi nyingi unasomeka kirahisi na hivyo kuwapa makocha unafuu wa kuidhibiti timu inayozicheza. Na kinyume chake.Kikosi hiki Cha Sasa hakina ubora was kuchukua ubingwa ukilinganisha na Azam na Simba kwa Sasa ni upepo mzuri unapepea jangwani ukiambatana na bahati