DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Mikia mnatia huruma sana. TZ prisons wamekubali kichapo lkn nyie mnalialia utafikiri ndo mliocheza.Eti Refa anapigwa kichwa na Dante na anachekelea tu.
Hamna kadi wala kada.
Kweli hii timu ni ya Wananchi, na inambelekewa ili ichukuwe kombez.
Huyo refa kupigwa kichwa kumechangiaje ktk ushindi wa yanga yetu?
Haya waandikien Tz prisons ili waipeleke Tff kabla muda haujaisha