Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

N
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya 19,swali ni je Yanga itaendeleza ubabe katika TPL kwa kujinyakulia alama zote tatu au Prison watafanya maajabu leo ili kutoka mkiani walikosalia?
Tukutane hapa kupeana yale yatakayokuwa yanajiri huko uwanja wa Sokoine Mbeya.

Updates
Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndio zimeanza hapa ccm Sokoine Mbeya.

Updates
19' yanga wanapata mpira wa adhabu senti mita chache kabisa kutoka 18, anaenda kupiga Ajib.....anakosa.

Updates
35' Maka Edward anapewa kadi ya njano, na prison wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu kuelekea lango la yanga, prison wanapoteza nafasi hii ya mpira wa adhabu.

Updates
43' prison wanapata penalty
Ajibu, Juma Abdul, Chikupe wanapewa kadi ya njano hapa.

45' prison wa naandika goli la kwanza kupitia kwa Jumanne Nikaze Elfadhili.
Updates
Vurugu zinatokea hapa uwanjani, mchezaji wa prison yupo chini,mrisho Ngasa kampiga kichwa Hassan Kapalata, hiki ndicho chanzo cha vurugu.
Ndala kashalia😀😀😀😀😛😛😛😛
 
1543845163957.png
 
Naona nje ya uwanja makomandoo wa yanga wanaleta rapsha rapsha hapa, ila habari ndio hiyo, sindano moja ya moto imeshaingia kwenye mwili wao.
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom