squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Ila mkuu tusiwe na wasiwasi mechi yetu hii tutafanya COMEBACK ya kibabeMikia bhana, subirini dk 90 ndo mshangilie vizuri. Mna haraka kama mnaogea nje?
ππππ ndio hao goli likikombolewa wananuna mwishowe wanakufwa. ππππMikia bhana, subirini dk 90 ndo mshangilie vizuri. Mna haraka kama mnaogea nje?
Amina mkuu. Tena tuko 9 uwanjani hapoIla mkuu tusiwe na wasiwasi mechi yetu hii tutafanya COMEBACK ya kibabe
Kabisa mkuu. Kupigwa apigwe mwingine maumivu ayapate mtazamaji hadi kuzimiaππππ ndio hao goli likikombolewa wananuna mwishowe wanakufwa. ππππ
Chura kakaukiwa maji bwawani 1-0Matokeo vipi huko
1:1Matokeo vipi huko
Hali yako vipi mkuu?Vyura wa Lumumba hoiii
Wako wapi hivi? Siwasikii tena. Au ndio washazimia?Kabisa mkuu. Kupigwa apigwe mwingine maumivu ayapate mtazamaji hadi kuzimia
Chura kakaukiwa maji bwawani 1-0
Watakuwa ICU. Yanga wakiongeza kuna watu watakutwa mortuaryWako wapi hivi? Siwasikii tena. Au ndio washazimia?
Nipo hapa nasubiri mpira uisheMvua imenyesha mkuu. Usikimbie
Hahahaha kuna mtu kaongezwa huko.Nipo hapa nasubiri mpira uishe
Kwa hali hii lazima washakufwaaaa.Watakuwa ICU. Yanga wakiongeza kuna watu watakutwa mortuary
Wapeeee. πππππ mi naskizaHahahaha kuna mtu kaongezwa huko.