Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee nachoma mdomo wanguImeshafanyika
Yanga nomaUuuuwiiiiiiiiiiii. Tatu. Aiseeeee
Siku zote tunasema Mchawi Zahera tu.
Noma sana.Yanga noma
Hatushindwiiiiii. πππππYanga 3 prisons 1
Ndo nini hicho mkuuVyuraaaa bwana View attachment 954688
Hii ndo raha yakushangilia timu janja kama yanga....3 mkuu
Ila mkuu tusiwe na wasiwasi mechi yetu hii tutafanya COMEBACK ya kibabe
HatuboiHatushindwiiiiii. πππππ
Lete na wengine Mkuu.
Mikia yao bado hawajaibana na pini?Kaaaazi kweli kweli leo. Sipati picha mikia fc watakavyotikisa mikia hapa
Hatupoi pia. ππππHatuboi
Yanga haoNdo nini hicho mkuu
Sasa vip anapumuliwa wapi?yanga anapumuliwa kichogoni
Ukimbiwe mara ngapi sa? πππJamani uzi huu usikimbiwe
Bahati yenu leoSio mchezo. Comeback
Hii ndio Yanga