Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Matopeni anang'olewa leo arudi tuone kama atakula viporo.
Asipotolewa uwanjani, atatolewa kwa imani za kishirikina. Walinyunyiza maji sehemu ya wachezaji kupita kuelekea vyumbani baada ya bus la Azam kufika kwa Mchina.
Uchawi utawa cost mwaka huu.
 
Kwani ligi imeisha? Ndo Kwanza 14 Kati ya 38 kwa yanga hi pumzi itakata muda si mrefu
Tusubiri tuone basi. Japo kwa maneno yako ikiwa pumzi itakata kwa kinara wa ligi nyie wa chini yake mtakuwa na hali gani.
 
Na wapotee tu kwani kwenye Msimamo wa ligi kuna sehemu ya Mechi zilizochezwa, Win,Lose, Draw, Magoli na kufunga na kufungwa sasa hizo pasi tano tano sijui zinakaaga wapi.

brave one njoo utuambie.
Huwa zinakaa mwishoni kabisa mwa table ya wanamsimbazi.
 
Simba katika ubora wao wa siku zote.
IMG-20181204-WA0000.jpg
 
Hivi hadi ifike march si itakua tumeshawaacha pointi zaidi ya 20 huko?
Umetangulia kwa points 11,utapigwa na Azam na Simba zitabaki 5,mimi nikishinda manake ni lazima nishinde michezo yangu ya kiporo nakamata usukani wangu wa TPL, nyie pigeni mark time na kelele kwenye nafasi za wenyewe.
 
Wahenga walisema achekaye mwisho ndio hucheka sana, sie wana simba tutacheka mwisho, watani ni muda wenu huu wa kupiga na vigelegele kabisa.
 
Back
Top Bottom