Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naunga mkono hoja, pale walime Mpunga tu siyo sehemu ya kichezea soka. Mechi ya Prison na Mbeya City Leo iwe ya mwisho kuchezwa kwenye jaruba lile.Kila anayeangalia soka inayochezwa kwenye uwanja huo aweza kuwa shahidi , hata mvua isiponyesha...
Kwani mnaenda lini Sokoine?Kila anayeangalia soka inayochezwa kwenye uwanja huo aweza kuwa shahidi , hata mvua isiponyesha soka halichezeki , unaweza kudhani ni njia ya ng'ombe...
Kwani litimu lako libovu litacheza kwenye uwanja huo? Au ni uchawi wako tuu?Kila anayeangalia soka inayochezwa kwenye uwanja huo aweza kuwa shahidi , hata mvua isiponyesha soka halichezeki , unaweza kudhani ni njia ya ng'ombe...
Uzi huu ni kwa manufaa mapana ya soka , hakuna ushabiki wowoteKwani litimu lako libovu litacheza kwenye uwanja huo? Au ni uchawi wako tuu?
Kwa kweli ule siyo uwanja bali ni mahali pa kulala mbuzi!Kila anayeangalia soka inayochezwa kwenye uwanja huo aweza kuwa shahidi , hata mvua isiponyesha soka halichezeki , unaweza kudhani ni njia ya ng'ombe , Kwetu Kyela njia ya ng''ombe ina jina lake , inaitwa IGULUMBILO , unaweza kudhani ni barabara , ila hakuna gari linaloweza kupita...