GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Akikujibu nitagAliyechezesha mechi na waarab alikua simba pia
Mashabiki wa dizaini yake ndiyo wanarudisha soka letu KM 400 nyuma kila sikuAtasema nini naona analia lia tu kama demu mara marefa ni wa simba mara mechi imeuzwa duuh
Una la kusema hadi sasa zaidi ya kulalama?
Hoja ya kwamba hii game ni fixed haina mashiko.
Wakishinda wao hayo yote hawasemi tukishinda full kelele vyura bwana wa kuwa samehe saba mara 70 tuMashabiki wa dizaini yake ndiyo wanarudisha soka letu KM 400 nyuma kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabumbu mbovu, bora kutizama X kuliko hili hili kabumbu la kibwege
Nitajie mechi mbili tu za ligi hii 2018/2019 ambazo Yanga wamecheza kabumbu ya kuvutiakabumbu mbovu, bora kutizama X kuliko hili hili kabumbu la kibwege
Dk ya 70 simba wanaongoza 2Mbona porojo tu hamtoi updates...
Asante Uchebe kwa kunisomaUchebe unataka mpka tufungwe ndo ufanye sub. Punguza forward ingiza HD
Ukiona hivyo ujuwe tumetaitiwa,tunakuwa tumeshika pumpu tusifungweMbona porojo tu hamtoi updates...
saaaaaaaafi..... vyura wa jangwani huko wana presha maana kila kiporo mnyama anakitafuna vizuuuuriDk ya 70 simba wanaongoza 2
Kagere1
Bocco1
Moo cola na azam cola ipi tamu
Woyooooosaaaaaaaafi..... vyura wa jangwani huko wana presha maana kila kiporo mnyama anakitafuna vizuuuuri
Sent using Jamii Forums mobile app