Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sawa. Hongera zako.Basi ntarudi kuona updates, maana leo naangalia mtanange wa Man Utd na Liverpool. Wa kimataifa wenzangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Hongera zako.Basi ntarudi kuona updates, maana leo naangalia mtanange wa Man Utd na Liverpool. Wa kimataifa wenzangu.
Hahahahaaaa maneno ya mnyonge hayo wakati nyie ndio mnasemaga daima mbele nyuma nini vile😛😛😛Hahahaaa. Wala sio la Kuku.
Yana mwisho hayo
Tunaingiaga kwenye mashndano hayo kama kucheza bonanza tuLeo hii imekuwa ya Mbuzi Mtani. Nawaza tu mngekuwa bado mmo kwenye mashindano haya hii kauli ingekuwepo kweli?
Hivyo mwakani hamtashiriki eee?
Hahaaa. Nyuma marufuku. 😀😀Hahahahaaaa maneno ya mnyonge hayo wakati nyie ndio mnasemaga daima mbele nyuma nini vile😛😛😛
Ukae hadi mpira uisheNina kanafasi leo japo si sana.
Shukrani. Eti kombe la vibonde. Aisee.
Nasubiria mwakani nione zitakuwepo hizi kauli ama lah.Tunaingiaga kwenye mashndano hayo kama kucheza bonanza tu
Mikwara tu hiyo banaHahaaa. Nyuma marufuku. 😀😀
Hahaaa. Sina muda mrefu ujue japo najua utasema nimekimbia.
Mnyama hua hachukulii kombe hili serious kiviile ndio maana hua anafanya ni sehemu ya kujaribu wachezaji wake wapya, ila sasa Jangwani a.k.a Vyura FC wanavyolitolea macho kufa na kupona! Wanalikamia ile mbaya huku wakipigana vikumbo na vitoto kama Mashujaa FC, sijui Namongo FcNasubiria mwakani nione zitakuwepo hizi kauli ama lah.
Mikia FC
shabiki wa simba tatizoUsimchoshe Mungu wewe