Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Nasubiria mwakani nione zitakuwepo hizi kauli ama lah.
Mnyama hua hachukulii kombe hili serious kiviile ndio maana hua anafanya ni sehemu ya kujaribu wachezaji wake wapya, ila sasa Jangwani a.k.a Vyura FC wanavyolitolea macho kufa na kupona! Wanalikamia ile mbaya huku wakipigana vikumbo na vitoto kama Mashujaa FC, sijui Namongo Fc

Unajua mtu mzima kama unakula na mtoto sahani moja hata kama hujashiba unamwachia tu mtoto ale
 
Back
Top Bottom