Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #41
Ghazwat uko wapi Mtani. Njoo bana mnacheza leo.
Ikifika Khamsa unishtue...
Kibaya zaidi mtani tutafuzu robo fainali sisi na j-soura, tuliokuwa hatupewi nafasiKwa hali hii niseme tu zile KHAMSA KHAMSA ni halali kabisa.
Kibaya zaidi mtani tutafuzu robo fainali sisi na j-soura, tuliokuwa hatupewi nafasi
hakuna mkate mgumu mbele ya chai; Leo tunawalambisha vizuri tu ice cream zao
hahahahaHahaha we jamaa umepata chai kweli? Achana na kazi kwanza kapate kifungua kinywa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Yanga mnaangaika na Simba hivi tatizo Nini?Yusuph hakupenda timu kuchukuliwa na mpinzani wao mkubwa kibiashara...la,ima wajitahidi kumdhoofisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mko kileleni mwa ligiSwahiba tuwache. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
KILA LA KHERI AZAM. [emoji126][emoji126][emoji126]