Doh,,,inakuwaje hapo,,pengo la nyoniii ama vp,,?,Vyura fc wanapata bao la kwanza hapa
Huu uzi wa kingese kweli
Badala mlete update mnaleta utumbo
Hem kuweni serious wengine tuko mbali sana
Na bado watulie
Hapana mkuu ni ilikuwa ni Free kick Morrison akaipeleka moja kwa mojaDoh,,,inakuwaje hapo,,pengo la nyoniii ama vp,,?,
Ila muda upo watakaa tu hawa vyura
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani wewe chizi kweli.Gooooooooooooooool
Naaaam kiongozi wa CHAPUTA anapiga cha kwanza ple choo cha uwanja wa Taifa bila aibu
Weeeeeeeeee eeeeeh aaaiiiiii mamaaaa nakufaaaaaaaaaa.... Woyooooooooooooooooooo piga umbwa haoooo
Sent using Jamii Forums mobile app