Kipa anatuokoa hapa.... Beki iwe makiniNa bado watulie
kelphin kepph
Leba ziko wazi wakunga wapo kajifungue tu, uchungu upo hatua za mwisho huo mtoto atazaliwa njianiMbona hii post yako imejaa miguno kama uliyeukalia?
Marefa wa Tanzania ni maboya acha tu.Nyekundu direct kwa Chama refa kaminya.
Ingieni nyinyi mkachezeshe
Lile goli ni kipa mmoja tu duniani anaweza kujaribu kulipangua, mnaomlaumu Manula mnamuonea.
uliipa Yanga 1st half!??Ft yanga 1-2simbaaa
Hatujapangwa sisi wamepangwa wao maboya. Kama huoni udhaifu wa wazi huo unataka usaidiwe nini? Mwenzio huo Usimba/Uyanga siujui naongelea facts.Ingieni nyinyi mkachezeshe
Bro subiri mpira uisheHatujapangwa sisi wamepangwa wao maboya. Kama huoni udhaifu wa wazi huo unataka usaidiwe nini? Mwenzio huo Usimba/Uyanga siujui naongelea facts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe kile n kijiwe chetu chakupiga pesa
,,,,,,,said ndemla hapa,,,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app