Uchimvi tu , meko na mpira wapi na wapi
Leo huchukui ushindi. Mnyama anakutafuna leoMashabiki ya Yanga tujuane mapema vile tunachukua ushindi mapema
Yanga Daima mbele..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu beki wetu aliechukua nafasi ya Erasto Nyoni sin imani nae aisee,
Wakuu endeleeni kutujuza kinachoendelea huko mana wengine tuko mwali kabule matombo, huku hata redio tanzania haishiki