Kila la heri mkuu usisahau kutuwekea update jukwaani, ila usikae upande wetu, watakung'oa meno.Uzalendo sifuri nyie! Window is shutting down.....Nawahi mechi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri mkuu usisahau kutuwekea update jukwaani, ila usikae upande wetu, watakung'oa meno.Uzalendo sifuri nyie! Window is shutting down.....Nawahi mechi!
BREAKING NEWZ: Kutoka Uwanja wa Taifa. Mashabiki wa Ndala a.k.a Malapa wameenda kukaa jukwaa la Wekundu Simba Taifa kubwa na hawataki kutoka na wanaleta Vurugu huku wakiacha upande wao ukiwa tupu....Sasa ukisikia ugomvi ndio huo. Kwa hali hiyo wakifa watu wakulaumiwa ni nani? Makanyagio au Kandambili? TFF Mpo wanaanza wenyewe hao mgongo wazi.........In Zamalek We Trust...
Source: Macho yangu nashuhudia.
Mkuu kama una njano usijaribu kwenda kabisa, maana tunatambuana kwa jezi bado tunakuhitaji hapa jukwaani wasije wakakupeleka muhimbili bure na madaktari nao wana mgomo.kumbe Simba tuna jukwaa letu hapa uwanjani?
Nielekeze nikaketi mkuu, though nina jezi ya njano!
Wimbo wa Taifa haupigwi kwa Vilabu vya soka i think hujachunguza kauli yako.Leo wimbo wa taifa utapigwa kwa heshma ya wawakilishi wetu, ambao ni yanga. Wewe utaimba wa Misri?