mtalegea wenyeweUshindwe na ulegee
Ushachanika mkeka huombeya city wanapigwa 3 bila nyie mtaniambia hapa
Yanga ilikuwa na Kaunda. Wa kwenu hata miezi minne bado. Punguza Kiongozi.Dah, Nyie Ndala umri unatakiwa uendane na mafanikio, yaani miaka 85 hata uwanja wa mazoezi hakuna...!
Labda kama watashinda njaa.
Msikimbie mambo yakibadilikaSafiiiiiiiiiii sana Mbeya city kazeni hivyo hivyo msiachie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake, Mbeya city atapigwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake, Mbeya city atapigwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
It's not over until it's overUshachanika mkeka huo
Hahaha; hajapewa ist kweli
Ngoja muongezwe cha pili ndio akili itawakaa sawa.Msikimbie mambo yakibadilika