Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 2,904
- 7,489
Bwana hii ngoma inalala gepu limarudi lileIt's not over until it's over
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana hii ngoma inalala gepu limarudi lileIt's not over until it's over
3-0 huo mkeka haupo kwa sasaIt's not over until it's over
Hebu tujipe muda. Usisahau goli 2 zilirudishwa ndani ya dk 45 kipindi cha 2 dhidi ya 5imbaBwana hii ngoma inalala gepu limarudi lile
Sio kirahi hivyo mkuu.Ngoja muongezwe cha pili ndio akili itawakaa sawa.
Kweli nyie mabingwa wa kihistoria😁Hebu tujipe muda. Usisahau goli 2 zilirudishwa ndani ya dk 45 kipindi cha 2 dhidi ya 5imba
Dk ya ngapi mkuu?... kulitaka mwana😂Wazee wa sambusa, timu ya wananchi mbwembwe nyingi mpira wa hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umesahau mkuu?Kweli nyie mabingwa wa kihistoria😁
Endeleeni kujipa moyo hivyo hivyo pira linaisha hiloKwani umesahau mkuu?
Dk ya ngapi now mkuu?😂WanaKomakumwanya kojoza hao Vyura mama-e zao.
Amri Said Baba lao chapa hao malapa
Dk ya ngapi now mkuu🤣😂😅Yanga mkuje tufanye kikao Cha dharura hembu tuone angalau namna ya kusawazisha katika dk hizi za lala salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko bondeni kwa kina Zulu hamstream kwan?😂Dk ya ngapi now mkuu?😂