Wamechomoa ngoja wanakuja sasahivi
MmerudiNadhani mmejionea wenyewe kikao kimezaa matunda japo bado dalili zinaonyesha tutafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo muda wote mkuu.Wamechomoa ngoja wanakuja sasahivi
Mkuu, upo?Endeleeni kujipa moyo hivyo hivyo pira linaisha hilo
HahahaMwalimu kashasha tbc anatia sana chumvi eti "eti hii counter attack ni kama mtu anatoka dar kwenda kuchuma embe kigoma halafu anarudi gafla bila treni ya umeme"
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 we umejuajeHuko bondeni kwa kina Zulu hamstream kwan?😂
Hahaha. Ndo mana napenda soka aseeMwalimu kashasha tbc anatia sana chumvi eti "eti hii counter attack ni kama mtu anatoka dar kwenda kuchuma embe kigoma halafu anarudi gafla bila treni ya umeme"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupoteza point mbili sio kujitahidi. Tungesema tumejitahidi Kama mikia wangepoteza na sie tupate point hiyo mojaHata hivyo Yanga tumejitahidi sana, ilikuwa tufungwe leo.