hahahahaMwalimu kashasha tbc anatia sana chumvi eti "eti hii counter attack ni kama mtu anatoka dar kwenda kuchuma embe kigoma halafu anarudi gafla bila treni ya umeme"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tumepiga mpira mwingi sana Mkuu.Kupoteza point mbili sio kujitahidi. Tungesema tumejitahidi Kama mikia wangepoteza na sie tupate point hiyo moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa hivi yule NUGAZ hajaongea leo kweliKwa sare hiii...Itakuwa Simba wameweka dawa vyumbani, haiwezaekani Mbeya City! tusiwafunge[emoji23][emoji23]
Iharibike mara mbili mkuu?Birthday ya ndala inaweza kuharibika hapa ohoo, keki itaingia mchanga leo.
felicitation au Yanga, mpira una matokeo matatu, sare nayo ni matokeo
Huu utakuwa wa molinga mkuu.
Kama kawaida yao wamekata upepo dakika ya 66,klabu ya wazee hii unategemea nini zaidi?Kwa sare hiii...Itakuwa Simba wameweka dawa vyumbani, haiwezaekani Mbeya City! tusiwafunge[emoji23][emoji23]
Hapo ulipo umetepeta sana, umelowa hatarifelicitation au Yanga, mpira una matokeo matatu, sare nayo ni matokeo.
Mkeka umechanika!mbeya city wanapigwa 3 bila nyie mtaniambia hapa