Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Wameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabikaIla Yanga tumeupiga mwingi kama Barca vile.
Haha nimejua tu mzee😂😂😂 we umejuaje
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake, Mbeya city atapigwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
mbeya city wanapigwa 3 bila nyie mtaniambia hapa
Zero IQ, Yanga anawachinja wagonga nyundo wa Mbeya 3 - 0
Yanga kama kawaida leo tutammwagia maji mara 4 mbeya city kama msherekeaji wetu ktk siku ya kuzaliwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au.
Hata mimi naona 😏mbeya city wanapigwa 3 bila nyie mtaniambia hapa
AhhaaaaaaaahYanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au.
Huo ni mguu wa Morrison wa enzi za Zama za Mawe au Morrison wa sasa aliyepo Vyura SC? 😂😂
Kocha mwenyewe kachemka...unafanyaje rotation kwa kumuweka makapu namba 6 wakati kuna kina bui,fei,banka wako njeWameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabika
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu huyu kocha naye Mlopokaji sana, hapo hapo kukosa matokeo mechi 1 keshaanza kubeza Washambuliaji kwamba ASILAUMIWE MCHEZAJI WAKE NI MORRISON TU wengine amewakuta hivyo hana budi kuwatumia. Hii kauliina ubaguzi sana mjue.Kocha mwenyewe kachemka...unafanyaje rotation kwa kumuweka makapu namba 6 wakati kuna kina bui,fei,banka wako nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameanza kuwa kama kocha wet simba, yaan anajua kuwa kila mechi ni ya muhimu lakin unakuta mkudw, wawa, hussein wako nje wakati hao hawatakiwi kufanyiwa rotation labda kama wanaumwa tu.Wameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabika
Sent using Jamii Forums mobile app