Uwanja wa Taifa, Dar | Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga SC 1 - 1 Mbeya City

Uwanja wa Taifa, Dar | Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga SC 1 - 1 Mbeya City

Ila Yanga tumeupiga mwingi kama Barca vile.
Wameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamani timu inayocheza na yanga iingie na mabeki uwanjani tu forwads itawakuta humo uwanjani kutoka yanga, halafu lile goli alilofunga lamine ni offside kabisa...lakini pia magoli yote wamefunga yanga chakushangaza ndio wanaonuna...
Mbute mbute bhana[emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha mwenyewe kachemka...unafanyaje rotation kwa kumuweka makapu namba 6 wakati kuna kina bui,fei,banka wako nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha mwenyewe kachemka...unafanyaje rotation kwa kumuweka makapu namba 6 wakati kuna kina bui,fei,banka wako nje

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu huyu kocha naye Mlopokaji sana, hapo hapo kukosa matokeo mechi 1 keshaanza kubeza Washambuliaji kwamba ASILAUMIWE MCHEZAJI WAKE NI MORRISON TU wengine amewakuta hivyo hana budi kuwatumia. Hii kauliina ubaguzi sana mjue.
 
Wameupiga mwingi baada ya kuingia Tshishimbi ila kipindi cha kwanza Yanga hawakuwa na spidi na walicheza mpira wa kawaida tu. Yanga hii huwezi kuifanyia rotation ya wachezaji maana ina wachezaji wengi wasiokuwa na viwango bora. Wachezaji wazuri wanahesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameanza kuwa kama kocha wet simba, yaan anajua kuwa kila mechi ni ya muhimu lakin unakuta mkudw, wawa, hussein wako nje wakati hao hawatakiwi kufanyiwa rotation labda kama wanaumwa tu.

Tshishimbi sio wa kufanyiwa ratation hata kidogo, yeye ndiye anai drive timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom