kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,521 Reaction score 2,747 Feb 12, 2020 #121 kovai tamil taiga said: Hapo mliopo Taifa....watu hawasafiri juu ya mpira?...tumemiss iyo mambo..! Click to expand... Labda waka safiri juu ya lile bwawa lao pale jangwani.
kovai tamil taiga said: Hapo mliopo Taifa....watu hawasafiri juu ya mpira?...tumemiss iyo mambo..! Click to expand... Labda waka safiri juu ya lile bwawa lao pale jangwani.
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,521 Reaction score 2,747 Feb 12, 2020 #122 Ghazwat said: Kwa sare hiii...Itakuwa Simba wameweka dawa vyumbani, haiwezaekani Mbeya City! tusiwafunge[emoji23][emoji23] Click to expand... Hawa wachovu mkuu hawajawahi kuishiwa sababu, walichokipata jana kilikuwa ni halali yao kabisa.
Ghazwat said: Kwa sare hiii...Itakuwa Simba wameweka dawa vyumbani, haiwezaekani Mbeya City! tusiwafunge[emoji23][emoji23] Click to expand... Hawa wachovu mkuu hawajawahi kuishiwa sababu, walichokipata jana kilikuwa ni halali yao kabisa.
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 2,904 Reaction score 7,489 Feb 12, 2020 #123 Mpangumbe said: Yanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au. Click to expand... Haha dah
Mpangumbe said: Yanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au. Click to expand... Haha dah