kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Labda waka safiri juu ya lile bwawa lao pale jangwani.Hapo mliopo Taifa....watu hawasafiri juu ya mpira?...tumemiss iyo mambo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waka safiri juu ya lile bwawa lao pale jangwani.Hapo mliopo Taifa....watu hawasafiri juu ya mpira?...tumemiss iyo mambo..!
Hawa wachovu mkuu hawajawahi kuishiwa sababu, walichokipata jana kilikuwa ni halali yao kabisa.Kwa sare hiii...Itakuwa Simba wameweka dawa vyumbani, haiwezaekani Mbeya City! tusiwafunge[emoji23][emoji23]
Haha dahYanga tunahujumiwa na TFF haiwezekani mbeya city wasipige shuti hata moja langoni halafu matokeo yawe 1-1 na Simba wamewapangia mechi jioni sisi usiku wanataka tusinzie uwanjani au.