Uwanja wa Taifa(kwa Mkapa), haufai kwa mechi ya Yanga vs Zesco United

Uwanja wa Taifa(kwa Mkapa), haufai kwa mechi ya Yanga vs Zesco United

Hahahaaa!!! Na bado 💃💃💃
Tuishie hapa Mkuu naona umesahau kama hapa tunazungumzia Champions league. Teh teh
Champions league huu ndio mwezi wako wa mwisho kushiriki, kuanzia mwezi wa kumi utakuwa nje ya mashindano, usijipe moyo huna timu wewe. hahaha
 
Sisi hatuna presha Mtani kwani bado tupo tupo sana Kimataifa. Nionavyo tulia hivyo hivyo mpaka 90mns za mechi na Zesco ndio uzungumze. [emoji1787][emoji1787]
Aisee umeongea kinyonge sana kama vile unajua kitakachojiri,
Nakutakia kila laheri
Kichapo chema.
 
Yule wa moto pia bingwa wa nchi mwenye kutetemesha vyura na kuwafanya wakose amani madimbwini mwao, sio mwingine bali ni Simba sc mfalme wa nyika anakipiga kesho dhidi ya wakata miwa.
Tulia kwanza uwe unaangalia unamreply nani, status yako ni new member yaani kama kidagaa unajibishana na mamba. Endelea kujibizana na new members wenzio kwanza then ukikua uanze kujibizana na mtu kama Shadeeya
 
Mimi wakimataifa nanyongeaje sa Mtani.

"VICE VERSA IS TRUE" Hadi huruma Mtani. [emoji1787][emoji1787] No tambo, no du o dai zis taimu, no kwa Mkapa kuwa kaburi yaani kuko kimyaaaaa.
Isokee isokee zis izi yua taimu bati rimemba zati ze des izi kamingi
Kila laheri Simba sc
Kila laheri Zesco united
 
Tulia kwanza uwe unaangalia unamreply nani, status yako ni new member yaani kama kidagaa unajibishana na mamba. Endelea kujibizana na new members wenzio kwanza then ukikua uanze kujibizana na mtu kama Shadeeya
Nimecheka sana hii post yako. 😀😀 waeza kuta ni mkongwe tu ila ana Id mpya ya akiba.

Hivi sasa saizi yake ni Namungo FC huko.
 
Isokee isokee zis izi yua taimu bati rimemba zati ze des izi kamingi
Kila laheri Simba sc
Kila laheri Zesco united
Hahahaaa. Iti izi noti badi mtani kwani ikitokea hivyo tunakwenda Shirikisho. Hivyo bado tupotupo sana tu Kimataifa. 😜😜

Mwaka wenu huu kuhama hama timu Mtani. Na hii imefanya niamini kweli siku zote kila muosha huoshwa. Daah.
 
Hahahaaa. Iti izi noti badi mtani kwani ikitokea hivyo tunakwenda Shirikisho. Hivyo bado tupotupo sana tu Kimataifa. [emoji12][emoji12]

Mwaka wenu huu kuhama hama timu Mtani. Na hii imefanya niamini kweli siku zote kila muosha huoshwa. Daah.
Aiseee
69753885_632865490538959_6938979507361546240_n.jpeg
 
Back
Top Bottom