Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Kweli napenda mahela shem ubaki nayo tu jamani siwezi hama simba we kama unanipa nipe tu kwa mapenzi sio uniambie mambo za kuhama team kuhama team ni ngumu sana kwangu kama vile kubadili dini
[emoji125] [emoji125] woii
 
Sihami hata unipe kitu yaani hata uje na mahela mengiiii sihami kwa kweli simba na man u ndio roho zangu

Leader kuhama timu sio kazi ngumu ugumu ni wapi utakapohamia? Hapo tu ndio inafanya kama mimi nibaki na Ziiiimba kibongobongo na ndio timu pekee mjini hapa
 
Leader kuhama timu sio kazi ngumu ugumu ni wapi utakapohamia? Hapo tu ndio inafanya kama mimi nibaki na Ziiiimba kibongobongo na ndio timu pekee mjini hapa
Mm kwangu ni kazi sana kuhama team siwezi mkuu
 
Utashindwa kwa jina la Yesu kwahiyo furaha nihame nihamie jangwani
Yani ukihamia jangwani uungane na sakayo na mzigua90 basi timu itakua imekamilika,,hata tareh 29 tutakaa jukwaa moja pale taifa
 
Yani ukihamia jangwani uungane na sakayo na mzigua90 basi timu itakua imekamilika,,hata tareh 29 tutakaa jukwaa moja pale taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda mniroge [emoji85][emoji85][emoji85] kuhamia huko sio kwa akili yangu ninayoijua naanzaje jamani navaa eti jezi ya njano
 
Mtani Salaam. Waonaje na Khali!???

Naona Mmefungwa.Pole Mtani.

Wa Kimataifa Mnacheza Lini!?? Nataka Nikawashangilie
Salama kabisa Mtani mie sijambo hofu kwako tu Mtani wangu.

Hahahaaaa. Bado lakini kuna 45 mins.

Sie tunacheza Jumatano Mtani karibu utushangilie bwana. [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…