Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kweli napenda mahela shem ubaki nayo tu jamani siwezi hama simba we kama unanipa nipe tu kwa mapenzi sio uniambie mambo za kuhama team kuhama team ni ngumu sana kwangu kama vile kubadili diniShem unavyopenda mihela tena..fikiria fikiria buanaa